KISWAHILI EXPRESS - [2] GREETINGS (following) |
|
|
Person 'A' (question) | -> | Person 'B' (answer) |
|
Habari za asubuhi / za mchana ? |
1 |
Nzuri ! / Njema ! / Salama ! |
|
Habari za jioni / za usiku ? |
2 |
Nzuri ! / Njema ! / Salama ! |
|
Jina lako nani ? |
3 |
Jina langu ni B... |
|
Vipi Bwana ? |
4 |
Sina la kusema ! |
|
Nikujulishe Bwana ... |
5 |
Ninafurahi kukuona ! |
|
Hodi ! |
6 |
Karibu ! / Karibuni ! |
|
Kalia kiti tafadhali ! |
7 |
Starehe ! |
|
Kwa heri ! / Kwa herini ! |
8 |
Kwa heri ! / Kwa herini ! |
|
Tutaonana kesho ! |
9 |
Haya, tutaonana ! |
|
Uje kutuamkia ! |
10 |
Haya, ahsante ! |
|
Lala salama ! |
11 |
Ahsante, na wewe pia ! |
|
<- Previous page |
 |
Next page -> |