KISWAHILI EXPRESS - [4] PAYING A VISIT
   You don't understand everything ?     Hakuna Matata !     Fly the mouse over a sentence to translate it !
 
  Mjukuu anakwenda kuzuru Babu yake anayemwuliza habari zake.
 
Mjukuu -> Babu
 
  Shikamoo babu. 1   Marahaba mjukuu.
 
  2   Habari za siku nyingi ?
 
  Salama tu. 3   Habari za masomo ?
 
  Nzuri kidogo babu. 4   Wazazi nyumbani hawajambo ?
 
  Hawajambo. 5   Haya, kwa heri mjukuu.
 
  Kwa heri ya kuonana babu. 6  

 <- previous page       Next page ->