Mzee Meko ni karani mkuu katika Ofisi ya Udongo, ana mke na mtoto mmoja, mkewe anaitwa Halima na mtoto wake anaitwa Ngongola. Mzee Meko ana mazoea ya kunywa kangara akiwa na rafiki yake Kahtani na mama Majaliwa ambaye ni mkuu wa kilabu ya kangara. Mzee Meko huwa na vituko sana wakati akilewa na hadithi yetu itaanzia nyumbani kwa Mzee Meko. Philip Neli Ndunguru Old Meko is head clerk at the soil office, he has a wife and a child, his wife's name's Halima and his son's name's Ngongola. Old Meko is addicted to drinking kangara (a local beer made of maize) when he is with his friend Kahtani and mother Majaliwa who is at the head of the kangara club. Lots of things happen to old Meko when he is drunk and our story will start at old Meko's place. Philip Neli Ndunguru |