logo

 SWAHILI SLANG FROM TANZANIA 


NEW SLANG

MEANING

ENGLISH WORD

Adabu tupu

Kitu kizuri

Very good

Ado ado

Mwendo wa polepole

Moving slowly (not wanting to move fast thus delay)

Alasiri

Shilingi mia moja

100 T. Sh.

Alosto

Kuishiwa pesa

Broke

Aminia

Nimekubali

Accepted

Ana mafua

Ana sauti ya kuvutia.

She’s got attractive voice.

Anameremeta

Gari ya polisi au ya wagonjwa

Police car or ambulance

ATM

Mwanaume anayeliwa pesa na mwanamke

A guy who is taken for a ride for his money

Baga sosi (burger sauce)

Kijana anayeishi maisha ya hali ya juu

A teen of high social class, from a well to do family

Bakora

Kutanua wakati una pesa nyingi na kuwaumiza roho watu wasio na hela kuliko wewe

To enjoy and let others to see how you enjoy, to make them feel envy about your life

BBC

Kiingereza

English language

Bembea

Chupi za vikamba

Thongs

Bitozi

Mtu anayejisikia

Fly guy

Blue

Noti ya sh. 10,000

10,000 T. Sh.

Blunt

Bang

Weed

Boboya boboya

Mwizi mwizi

Thief

Bonge la tambara

Zusha tafrani

Do horrible things

Bongo

Dar es Salaam, Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania

Bwan mau

Mtu mwenye kuharisha.

Person who got diarrhoea.

Bwi, chicha, mitungi

Kulewa

Be drunk

Chachandu

Kichombezo cha chakula/shanga za kiunoni

Appetiser/waist lace

Chana chupi

Ondoka

Go away

Changudoa, dada poa, cd

Kahaba

Prostitute

Chapa mwendo

Kuondoka

To leave the place

Choka mbaya

Mtu ambaye ameishiwa

Fallen off

Chombeza

Kubembeleza/ ongeza ladha

Comforting talk

Chonda

Ngono

Sex

Chonga/pakaza

Toboa siri, eneza maneno

A person who leaks information/gossiping

Choo cha ’passport size’

Choo ambacho hakina paa

Outside cubed toilet with no roof

Chuma

Busha

Swab

Chuuuuuuz

Kushindwa

To loose

Chwee

Kutokuwa na pesa

No money

Dege la jeshi

Mtu asiyejijali

Untidy

Dei waka

Kuwa na ajira ya kubahatisha

Cheap labour

Denda

Kunyonya ulimi wa mwenzio

Tongue / French kiss

Denti

Mwanafunzi

Student

Dingi, mshua

Baba

Daddy

Doko

Tako nene

Big arse

Fagilia

Sifia

Boast

Fanya ghafla

Fanya haraka

Hurry up

Frodho

Kinywaji e.g. beer

Drink

Full

Kamili/poa

It’s okay

Full chaja

Mambo safi

Everything is alright

Game tough

Maisha magumu

Hard life

Garinya

Kuku

Hen

Gobole

Basi la dcm

DCM bus

Goer

Mwendao msafiri muacheapotee mtafutaji etc

Someone who likes to go somewhere

Gonga ikulu

Kuongea point

Talking sense

Gozi gozi/ kiwingu/kubania

Kumzibia riziki mtu

Disrupt habit

Gwiji

Mahiri/maarufu

Famous (well known )

Hakuna mukinga

Hakuna wasiwasi

No problem

Herbs

Majani{msuba}

Plant

I need to be a member

Kuwa mjumbe

To a member

Imekaa vibaya

Haiko sawa

Something wrong

Imesimama

Nzuri sana

Very nice

Jegele-jegele

Kuondoka taratibu

Leave/disappear slowly and quietly

Jero/pajero

Sh. 500

500 T. Sh.

Jikate, kipe, kula kona, anzisha

Ondoka

Go away

Kachala wangu

Rafiki yangu

Friend of mine

Kachaso

Pombe haramu ya gongo

Illicit brew

Kaka poa

Wavulana wanaojiuza

Fags

Kama kawa

Kama kawaida

As usual

Kasheshe

Balaa

Misfortune

Kavu

Hamna mpango

No deal

Keroro

Kulewa chakari

Too drunk

Kichaa wangu

Mshkaji

Friend

Kicheche

Msichana ambaye hana gharama kumpata

Loose girl

Kichwa

Mtoto wa kike mzuri

Pretty girl

Kideo

Sinema

Cinema

Kijiwe

Mahali pa kukutania marafiki

Jobless corner

Kilongalonga

Simu ya mkononi

Cell phone

Kiluzi

Mwanamke anayefanya mapenzi sana

A lady who likes having sexual intercourse

Kimeo / soo / msala

Kuwa kwenye matatizo

Something problematic

Kimobitel

Msichana mwembamba

Slim lady

Kinabo, wakuja, mpolipoli

Mtu mshamba

Layman

Kindeku

Mwanamke mwenye vitako vidogo vyenye mvuto

A women who have small pimp

Kipopo / demu / desa

Msichana

Lady

Kipumbu

Hakiba ya pesa ulioweka kwa matumizi ya baadaye.

Saving.

Kiroro

Pombe

Alcohol

Kishi kiume

Kugairi au kusita kufanya kitu fulani au kuacha kufanya kitu fulani

To stop doing something, or to change mind and do something else

Kitimoto

Nyama ya nguruwe

Pork meat

Kiwanja, mamtoni, kwa bi mkubwa

Ulaya

Foreign countries

Kizaazaa

Hali ya kuleta vurugu

Trouble

Kubambia

Kutomasa

Romance

Kuchana neti

Kupachika mimba

Impregnate

Kucheda

Kufanya mapenzi

To make love and sex

Kuchomekea

Kutongoza

To approach

Kudata

Kuchanganyikiwa

Confused

Kujiachia

Fanya unavyotaka

Lose yourself

Kujinafasi

Kutumia pesa

Spend

Kujishebedua/kujishaua

Kujidai

Proud off

Kukanyaga miwaya

Kupata ukimwi

Getting aids

Kukata gogo

Kwenda haja kubwa

To shit

Kukong’oli

Gonga,kufanya tendo la ndoa

Click, having sexual intercourse

Kukwama

Kuathirika kwa ukimwi

Somebody HIV positive

Kula chabo, kupiga deo

Kuchungulia vitu visivyokuhusu

To peep

Kula kona

Kukimbia

Run away

Kula shaba

Kupigwa risasi

To shoot

Kula tunda

Kujificha kukwepa mdeni

Running away from creditors

Kula uroda

Kufanya mapenzi

Sex

Kula vichwa

Kupata kazi

Get customer/deals

Kumdakisha

Kumpa

To give

Kumpa sound

Kumdanganya

To lie

Kumsomesha

Kumlazimisha akubali

Convice

Kupewamanyoya

Kupewa ahadi isiyo ya kweli

Being given a fake promise

Kupiga desh

Kuacha mlo kwa sababu ya bajeti finyu

Going without meal for lack of money

Kupiga konzi kinyago

Kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Anal sex

Kupiga mkeka

Kuswali

To pray

Kupiga mzinga

Kuomba pesa

Ask for money

Kupigika

Kutokuwa na hela

To have no money

Kupigwa bao

Katapeliwa

Cornered

Kupigwa bomba

Kurejeshwa

To be sent back

Kupinda

Kuchoka na maisha

To be tired of life because is so hard

Kupumzika

Kujamba

Passing bad air from stomach

Kusasambua

Kuongea

To talk

Kusaula

Kuvua nguo

To undress

Kushikishwa ukuta/choko

Hali ya mwanaume kufanya vitendo vya kishoga

Being a fag

Kusiliba, kuua

Kumsema mtu vibaya

Talk behind someone’s back

Kusimamia kucha

Kupiga punyeto

Doing masturbation

Kutia timu

Kufika

To arrive

Kutosa

Kutelekeza

To abandon

Kuua bendi

Kuharibu

Spoil the show

Longolongo

Ubabaisihaji

Empty words

Lumbesa/nyomi

Kitu kilichojaa sana

Fully packed

Lupango, sero

Jela

Prison

Mabachu

Malaya vicheche chizi mapenzi

Slut bitch

Magutu, machale

Kustukia kitu

To sense

Majalala

Kutokuwa na pesa

You don't have money

Maji ya tamu

Shoga

Gay

Majita

Wahuni

Hooligans

Makarau

Mapolisi

Polices

Mambo mtibwa/supa

Mambo mazuri

Things are good/fine or going well

Mambo ya isidingo

Mambo ya kiulaya

Westernised lifestyle

Manati

Sidiria

Bra

Manjemanje

Msosi

Food

Manyambofu

Nyaraka za kugushi

Fake document

Manzi

Mwanamke (msichana)

Girl (lady)

Mapepe

Sio mtulivu

Unsettled

Masela

Marafiki

Friends

Mashine

Ngumi nzito

Heavy fist

Matawi ya juu

Mambo safi

High life

Mazeli

Mama

Mother

Mbovu hela

Fedha

Money

Mbweta

Mwanamke mwenye makalio makubwa

A women who has a big pimp

Mcheza

Mtafutaji mjasirimali mchezaji

Player

Mdosho

Kitu kilichofojiwa

Fake stuff

Meng’esi, kinasa

Chupi mama

Under-pant

Mgodi utatema

Kutoa hela, kuhonga

Give out money

Michosho

Uongo

Lie

Mikasi

Kujamiiana

Sex

Mkarungu

Mkorofi/hataki kukubali/mbishi

Stubborn

Mkazuzuu

Mambo vipi ?

Hey... what’s up ?

Mkorogo

Dawa ya kujichubulia uso

Local made “bleach cream”

Mkwanja, mshiko, mapene

Pesa

Money

Mmango

Chakula

Food

Mng'avu wangu

Mpenzi wangu/rafiki yangu/mke wangu

My spouse

Mreno

Mwanaume anayependa ngono

A man that likes to sex

Mtambo, mwezi mpevu

Hana akili, punguwani

Madman, dull, imbecile

Mtoko

Kutoka mitaani kuinjoy. Kwenda nnje, kumchukua mtu au mpenzi sehemu fulani

Going out, to divert, to zone out

Muziki mnene

Mambo safi

Wealthy

Mwaibula

Suruali ambazo chupi huonekana na kufananishwa na daladala

Low cut jeans

Mwake

Safi

Good

Mwana

Rafiki

Friend

Mwanakele / wanakele

Mtoto / watoto

Child / children

Mzigoni

Kazini

At the job

Ndio maana yake

Uko sawa

That’s what it means

Ngawila

Fedha

Money

Ni nini ?

Mambo vipi ?

What’s up ?

Nyomi

Watu wengi

Crowd of people

Ochot

Binti anayetangatanga

Loose girl

Promota

Kupiga na kukata simu

Beep

Pumbu free

Kutokua na hela

To have no money

Pupwe

Kiyoyozi

Air-conditioner

Roho korosho

Roho mbaya

Cruel / not kind

Sagamega

Pekupeku kufanya mapenzi

Bare-footed

Saluti

Kukubali au kumkubali mtu kwa kitu alichofanya ni kizuri sana

Respect or admire or appreciate

Sampto

Kufanya mapenzi

Making love and sex

Sanamu la michelini

Msichana mnene asiye na shepu

Shapeless lady

Serengeti girls/boys

Vijana wanaotembea na watu wazima

Young girls/boys who go out with sugar mummies/daddies

Shalo tina tina

Mambo shwari

Everything is alright

Shega

Mambo mazuri

It’s all good

Shobokea

Kujipendekeza

Stalk

Shost

Shoga

Female friend

Shuka mnazi

Punyeto

Masturbation

Speed 120 nshaaaaa

Mambo yamenyooka

Everything is clear

Suka

Dereva

Driver

Taarabu

Maungo ya nyuma ya mwanamke

A woman’s behind

Teja

Mvuta unga

Dope addict

Tulianzisheni

Tuondoke

Let’s go

Twanga pepeta/dar kombaini

Simu aina ya Siemens c 25

Siemens c 25

Ufyetere

Umbeya, uzushi, uongo.

Gossip, rumours, lies

Ujiko

Sifa

Show off

Ukapa mchacho

Hali ngumu

No money

Ulabu, kilauri

Beer, pombe

Hard drink

Unagongwa na nyoka

Unachekiwa kitolii

Fuck you

Unanitega unanitaka

Unanitaka

You want me

Undava

Utemi

Bully

Ung’eng’e, kikristu

Kiingereza

English

Usinizingue

Usinihangaishe

Don’t bother me

Usipime

Usijaribu

Don’t dare

Uswazi

Kijijini

Village

Utajiju

Utajijua

It’s up to you

Utata

Kukosa uhakika

Not certain

Uturi

Manukato

Perfume

Uyoga

Pombe

Alcoholic drink

Uzushi

Maneno ya uongo

Lies

Viepe

Chips na yai

Chips and eggs

Vimbweta

Vimbweta vizege vya kusomea nje ya madarasa

Concrete tables out of classes at the UDSM

Vunja

Kutupa utanzania na kuvaa uraia wa nchi nyingine. Ukimbizi

Asylum seeker

Wasalimie Kigoma

Nimeshaoa

I am a married man

Wauzasura

Wavulana wanatashati

Handsome

Wila

Angaika bila sababu ya msingi

Unsettled

Zege

Chipsi mayai

French fries

Zingua

Changanya

Confuse

Ziro, zezeta, zoba

Mtu asiye na akili

Stupid




Valid HTML 4.01 Transitional