|
(verse
1)
Hii ni Fani iliyo muhimu tucheze kwa kutamba, lakini kaa mbali, cheza
mbali na watoto wanaopenda kujigamba.
Hii ni changamoto
kwa vinabo na wajanja mliopo ndani ya fani. Kaa chini tafadhari, kipi
tunafanya wagongwe wa zamani,
Wakubwa na
watoto, wake kwa waume, ndani ya nyumba say "heloo" - helooooooooooo!!!.
Rusha mikono juu na tuimbe kwa furaha kwa pamoja, here we go,
To the hip
to the hop yooo, mambo swadakta hakuna wakuzuia,
HBC, TJP, SOS B, Kinabo, tandika zuria,
Okey mpende
akupendae, mbusu akupendae, tapeli achana nae,
chuna buzi, eheeeh... akitaka mengine mwambie njoo baadae.
KIITIKIO
Piga makofi,
piga makofi
Piga makofi, tafadhali
Piga makofi, piga makofi
Piga makofi, tafadhali
Big Lawi
- piga makofi
Yooo Kanyigo - piga makofi
J-T - piga makofi,
na maana piga makofi tafadhali
Uncle J - piga makofi
Masoud Masoud - piga makofi
Master T - piga makofi,
na maana piga makofi tafadhali
(verse 2)
Nasema pigamakofi, pigamakofi kama wewe si mkorofi, kwenye party hakuna
uzushi tunataka watu wacheshi, tunajirusha kimanjonjo. Ukileta fujo unatupwa
selo.
Stuka uendako,
tambua wapi ulipo, usije ukapata kichapo, hii ni fani usilete utani old
school imelala kichwani, nawasabahi Kimara maskani na wote walioko rnamtoni.
Ni saa za
kazi, panda jahazi kama msanii milango iko wazi, HBC walifunga kazi J
sasa kamwaga radhi, kwenye machozi, jasho na damu single ni bongo Dar
es Salaam.
Wakubwa na
watoto wameipokea kwa nidhamu, ni nderemo na vifijo yooo, piga makofi
kama nguvu unazo, ni simple X mzee wa Ngano, hakuna
noma mambo mswano.
KIITIKIO
(verse
3)
Ukurasa 27 wote mnajua kama fani imelala
Nani amesema kama fani haijalala ...la
Mpishe mlete kwetu ili aakiri ni balaa ...la
Isiwe tu sanaa hata mambo mengine wa ...wa
Tunajimwa mwa, J, X, Mr. Za ...za
Mshike mchumba mzuri cheza nae kistar ...star
Muda ukifika cheza mchezo kibaba ...ba
Fanya vurugu mechi lakini usiache zana ...na
Mchezo wa kuloweka sio mzuri jama ...ma
Piga makofi shangilia ushindi kama ...ma
Wewe ni mfalme toka miaka mingi sana ...na
Dili mi na J aka nyingi sasa ...sa
Nafaa kuitwa baba sio tena kaka ...ka
Piga makofi
tafadhali, and wave like you don't care
Kwenye party nimezuka kama zali hakuna mjuba atakayeniletea,
narudi fresh
kwenye mstari. Mr. Zagi naendelea, toka wakati ule hadi wakati huu chelea
pina chelea chelea.
KIITIKIO
|
|