Mzee Meko ni karani mkuu katika Ofisi ya Udongo, ana mke na mtoto mmoja, mkewe anaitwa Halima na mtoto wake anaitwa Ngongola. Mzee Meko ana mazoea ya kunywa kangara akiwa na rafiki yake Kahtani na mama Majaliwa ambaye ni mkuu wa kilabu ya kangara. Mzee Meko huwa na vituko sana wakati akilewa na hadithi yetu itaanzia nyumbani kwa Mzee Meko.

Philip Neli Ndunguru

Le père Meko est employé principal au bureau de la Terre, il a une femme et un enfant, sa femme s'appelle Halima et son enfant s'appelle Ngongola. Le père Meko a l'habitude de boire de la kangara (bière de maïs) quand il est avec son ami Kahtani et la mère Majaliwa qui est la tenancière du club de kangara. Il arrive beaucoup d'aventures au père Meko quand il est ivre et notre histoire commencera au domicile du père Meko.

Philip Neli Ndunguru