logo

 ARGOT SWAHILI DE TANZANIE 


ARGOT NOUVEAU

SIGNIFICATION

MOT FRANÇAIS

Adabu tupu

Kitu kizuri

Très bien

Ado ado

Mwendo wa polepole

Bouger lentement (ne pas vouloir aller vite donc différer)

Alasiri

Shilingi mia moja

100 T. Sh.

Alosto

Kuishiwa pesa

Sans le sou

Aminia

Nimekubali

Accepté

Ana mafua

Ana sauti ya kuvutia.

Elle a une voix attirante.

Anameremeta

Gari ya polisi au ya wagonjwa

Voiture de police ou ambulance

ATM

Mwanaume anayeliwa pesa na mwanamke

Un type que l'on dupe pour son argent

Baga sosi (burger sauce)

Kijana anayeishi maisha ya hali ya juu

Quelqu'un de la haute, d'une famille aisée

Bakora

Kutanua wakati una pesa nyingi na kuwaumiza roho watu wasio na hela kuliko wewe

Profiter de la vie et faire voir aux autres comment vous en profitez, pour qu'ils vous envient

BBC

Kiingereza

l'anglais

Bembea

Chupi za vikamba

Tongs

Bitozi

Mtu anayejisikia

Type ambitieux

Blue

Noti ya sh. 10,000

10,000 T. Sh.

Blunt

Bang

Herbe

Boboya boboya

Mwizi mwizi

Voleur

Bonge la tambara

Zusha tafrani

Faire des choses horribles

Bongo

Dar es Salaam, Tanzania

Dar es Salaam, Tanzanie

Bwan mau

Mtu mwenye kuharisha.

Personne qui a la diarrhée.

Bwi, chicha, mitungi

Kulewa

Être ivre

Chachandu

Kichombezo cha chakula/shanga za kiunoni

Amuse-gueule/corsage en dentelle

Chana chupi

Ondoka

Partir

Changudoa, dada poa, cd

Kahaba

Prostituée

Chapa mwendo

Kuondoka

Quitter l'endroit

Choka mbaya

Mtu ambaye ameishiwa

Sur le déclin

Chombeza

Kubembeleza / ongeza ladha

Discours de réconfort

Chonda

Ngono

Sexe

Chonga / pakaza

Toboa siri, eneza maneno

Une person qui lâche une information / bavardage

Choo cha ’passport size’

Choo ambacho hakina paa

Toilette extérieure sans toit

Chuma

Busha

Serpillière

Chuuuuuuz

Kushindwa

Perdre

Chwee

Kutokuwa na pesa

Sans argent

Dege la jeshi

Mtu asiyejijali

Débraillé

Dei waka

Kuwa na ajira ya kubahatisha

Main d'œuvre bon marché

Denda

Kunyonya ulimi wa mwenzio

Langue / Baisé à la française

Denti

Mwanafunzi

Etudiant

Dingi, mshua

Baba

Papa

Doko

Tako nene

Gros cul

Fagilia

Sifia

Se vanter

Fanya ghafla

Fanya haraka

Se dépêcher

Frodho

Kinywaji e.g. beer

Boisson

Full

Kamili/poa

Tout va bien

Full chaja

Mambo safi

Tout baigne

Game tough

Maisha magumu

Vie dure

Garinya

Kuku

Poule

Gobole

Basi la dcm

Autobus DCM

Goer

Mwendao msafiri muacheapotee mtafutaji, etc..

quelqu'un qui veut aller quelque part

Gonga ikulu

Kuongea point

Parler de façon sensée

Gozi gozi/ kiwingu/kubania

Kumzibia riziki mtu

Déranger les habitudes

Gwiji

Mahiri/maarufu

Célèbre (Bien connu)

Hakuna mukinga

Hakuna wasiwasi

Pas de problème

Herbs

Majani{msuba}

Plante

I need to be a member

Kuwa mjumbe

Être membre

Imekaa vibaya

Haiko sawa

Il y a quelque chose qui ne va pas

Imesimama

Nzuri sana

Très bien

Jegele-jegele

Kuondoka taratibu

Partir/filer à l'anglaise

Jero/pajero

Sh. 500

500 T. Sh.

Jikate, kipe, kula kona, anzisha

Ondoka

Partir

Kachala wangu

Rafiki yangu

Mon ami

Kachaso

Pombe haramu ya gongo

Bière illicite

Kaka poa

Wavulana wanaojiuza

Jigolo

Kama kawa

Kama kawaida

Comme d'habitude

Kasheshe

Balaa

Malheurs

Kavu

Hamna mpango

Pas de deal

Keroro

Kulewa chakari

Trop ivre

Kichaa wangu

Mshkaji

Ami

Kicheche

Msichana ambaye hana gharama kumpata

Fille facile

Kichwa

Mtoto wa kike mzuri

Jolie fille

Kideo

Sinema

Cinema

Kijiwe

Mahali pa kukutania marafiki

Coin des désœuvrés

Kilongalonga

Simu ya mkononi

téléphone portable

Kiluzi

Mwanamke anayefanya mapenzi sana

Une dame qui aime le sexe

Kimeo / soo / msala

Kuwa kwenye matatizo

quelque chose de problématique

Kimobitel

Msichana mwembamba

Dame mince

Kinabo, wakuja, mpolipoli

Mtu mshamba

Profane

Kindeku

Mwanamke mwenye vitako vidogo vyenye mvuto

Une femme qui a un petit derrière attirant

Kipopo / demu / desa

Msichana

Dame

Kipumbu

Hakiba ya pesa ulioweka kwa matumizi ya baadaye.

Economie

Kiroro

Pombe

Alcool

Kishi kiume

Kugairi au kusita kufanya kitu fulani au kuacha kufanya kitu fulani

S'arrêter de faire quelque chose, ou changer d'idée pour faire autre chose

Kitimoto

Nyama ya nguruwe

viande de porc

Kiwanja, mamtoni, kwa bi mkubwa

Ulaya

Pays étrangers

Kizaazaa

Hali ya kuleta vurugu

Trouble

Kubambia

Kutomasa

Romance

Kuchana neti

Kupachika mimba

Mettre enceinte

Kucheda

Kufanya mapenzi

Faire l'amour et le sexe

Kuchomekea

Kutongoza

Approcher

Kudata

Kuchanganyikiwa

Confus

Kujiachia

Fanya unavyotaka

Se perdre

Kujinafasi

Kutumia pesa

Dépenser

Kujishebedua/kujishaua

Kujidai

Être fier de soi

Kukanyaga miwaya

Kupata ukimwi

Attraper le Sida

Kukata gogo

Kwenda haja kubwa

Chier (faire le gros besoin)

Kukong’oli

Gonga, kufanya tendo la ndoa

faire crac-crac, avoir un rapport sexuel

Kukwama

Kuathirika kwa ukimwi

Quelqu'un HIV positif

Kula chabo, kupiga deo

Kuchungulia vitu visivyokuhusu

Faire du voyeurisme

Kula kona

Kukimbia

Se sauver

Kula shaba

Kupigwa risasi

Tirer

Kula tunda

Kujificha kukwepa mdeni

Se cacher de ses créditeurs

Kula uroda

Kufanya mapenzi

Sexe

Kula vichwa

Kupata kazi

Avoir un client/un deal

Kumdakisha

Kumpa

Donner

Kumpa sound

Kumdanganya

Mentir

Kumsomesha

Kumlazimisha akubali

Convaincre

Kupewamanyoya

Kupewa ahadi isiyo ya kweli

Recevoir de fausses promesses

Kupiga desh

Kuacha mlo kwa sababu ya bajeti finyu

Partir le ventre creux par manque d'argent

Kupiga konzi kinyago

Kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Sodomiser

Kupiga mkeka

Kuswali

Prier

Kupiga mzinga

Kuomba pesa

Demander de l'argent

Kupigika

Kutokuwa na hela

Être sans le sou

Kupigwa bao

Katapeliwa

Être au pied du mur

Kupigwa bomba

Kurejeshwa

Être renvoyé

Kupinda

Kuchoka na maisha

Être fatigué de la vie parce qu'elle est dure

Kupumzika

Kujamba

Péter

Kusasambua

Kuongea

Parler

Kusaula

Kuvua nguo

Se déshabiller

Kushikishwa ukuta/choko

Hali ya mwanaume kufanya vitendo vya kishoga

Faire le gigolo

Kusiliba, kuua

Kumsema mtu vibaya

Parler derrière le dos de quelqu'un

Kusimamia kucha

Kupiga punyeto

Se masturber

Kutia timu

Kufika

Arriver

Kutosa

Kutelekeza

Abandonner

Kuua bendi

Kuharibu

Ruiner le spectacle

Longolongo

Ubabaisihaji

Mots creux

Lumbesa/nyomi

Kitu kilichojaa sana

Rempli à ras bord

Lupango, sero

Jela

Prison

Mabachu

Malaya vicheche chizi mapenzi

Prostituée

Magutu, machale

Kustukia kitu

Sentir

Majalala

Kutokuwa na pesa

Être sans argent

Maji ya tamu

Shoga

Gay, Pédé

Majita

Wahuni

Voyous

Makarau

Mapolisi

Policiers

Mambo mtibwa/supa

Mambo mazuri

Les affaires vont bien

Mambo ya isidingo

Mambo ya kiulaya

Mode de vie occidentalisé

Manati

Sidiria

Soutien-gorge

Manjemanje

Msosi

Nourriture

Manyambofu

Nyaraka za kugushi

Faux document

Manzi

Mwanamke (msichana)

Fille (dame)

Mapepe

Sio mtulivu

instable

Masela

Marafiki

Amis

Mashine

Ngumi nzito

Poing lourd

Matawi ya juu

Mambo safi

La grande vie

Mazeli

Mama

Mère

Mbovu hela

Fedha

Argent

Mbweta

Mwanamke mwenye makalio makubwa

Une femme qui a un gros derrière

Mcheza

Mtafutaji mjasirimali mchezaji

Joueur

Mdosho

Kitu kilichofojiwa

Contrefaçon

Meng’esi, kinasa

Chupi mama

slip de femme

Mgodi utatema

Kutoa hela, kuhonga

Donner de l'argent

Michosho

Uongo

Mensonge

Mikasi

Kujamiiana

Sexe

Mkarungu

Mkorofi/hataki kukubali/mbishi

Têtu

Mkazuzuu

Mambo vipi ?

Comment va ?

Mkorogo

Dawa ya kujichubulia uso

Crème blanchissante fabriquée localement

Mkwanja, mshiko, mapene

Pesa

Argent

Mmango

Chakula

Nourriture

Mng'avu wangu

Mpenzi wangu/rafiki yangu/mke wangu

Mon épouse

Mreno

Mwanaume anayependa ngono

Un homme qui aime le sexe

Mtambo, mwezi mpevu

Hana akili, punguwani

Fou, idiot, imbécile

Mtoko

Kutoka mitaani kuinjoy. Kwenda nnje, kumchukua mtu au mpenzi sehemu fulani

Sortir, se divertir, aller zoner

Muziki mnene

Mambo safi

Fortuné

Mwaibula

Suruali ambazo chupi huonekana na kufananishwa na daladala

Jean coupé court

Mwake

Safi

Bien

Mwana

Rafiki

Ami

Mwanakele / wanakele

Mtoto / watoto

Enfant / enfants

Mzigoni

Kazini

Au travail

Ndio maana yake

Uko sawa

C'est ça même

Ngawila

Fedha

Argent

Ni nini ?

Mambo vipi ?

Qu'est-ce qu'il y a ?

Nyomi

Watu wengi

Foule de gens

Ochot

Binti anayetangatanga

Fille perdue

Promota

Kupiga na kukata simu

Beeper

Pumbu free

Kutokua na hela

Être sans argent

Pupwe

Kiyoyozi

Air-conditionné

Roho korosho

Roho mbaya

Cruel / pas sympa

Sagamega

Pekupeku kufanya mapenzi

Nu-pieds

Saluti

Kukubali au kumkubali mtu kwa kitu alichofanya ni kizuri sana

Respecter ou admirer ou apprécier

Sampto

Kufanya mapenzi

Faire l'amour et le sexe

Sanamu la michelini

Msichana mnene asiye na shepu

Dame sans forme

Serengeti girls/boys

Vijana wanaotembea na watu wazima

Jeunes garçons ou fille qui vont avec des adultes

Shalo tina tina

Mambo shwari

Tout va bien

Shega

Mambo mazuri

Tout est OK

Shobokea

Kujipendekeza

Démarche majestueuse

Shost

Shoga

Amie femme

Shuka mnazi

Punyeto

Masturbation

Speed 120 nshaaaaa

Mambo yamenyooka

Tout est clair

Suka

Dereva

Chauffeur

Taarabu

Maungo ya nyuma ya mwanamke

Derrière d'une femme

Teja

Mvuta unga

Accro à la drogue

Tulianzisheni

Tuondoke

Allons-y

Twanga pepeta/dar kombaini

Simu aina ya Siemens c 25

Siemens c 25

Ufyetere

Umbeya, uzushi, uongo.

Bavardages, rumeurs, mensonges

Ujiko

Sifa

Se vanter

Ukapa mchacho

Hali ngumu

Sans argent

Ulabu, kilauri

Beer, pombe

Boisson forte

Unagongwa na nyoka

Unachekiwa kitolii

Va te faire foutre

Unanitega unanitaka

Unanitaka

Tu me cherches

Undava

Utemi

Tyran

Ung’eng’e, kikristu

Kiingereza

Anglais

Usinizingue

Usinihangaishe

Ne viens pas me chercher

Usipime

Usijaribu

N'essayes pas

Uswazi

Kijijini

Village

Utajiju

Utajijua

Ç te regarde

Utata

Kukosa uhakika

Pas certain

Uturi

Manukato

Parfum

Uyoga

Pombe

Boisson alcoolisée

Uzushi

Maneno ya uongo

Mensonges

Viepe

Chips na yai

Frites et œufs

Vimbweta

Vimbweta vizege vya kusomea nje ya madarasa

Tables de ciment en dehors des classes à l'Université de D'Salaam

Vunja

Kutupa utanzania na kuvaa uraia wa nichi nyingine. Ukimbizi

Demandeur d'asile

Wasalimie Kigoma

Nimeshaoa

Je suis un homme marié

Wauzasura

Wavulana wanatashati

Belle

Wila

Angaika bila sababu ya msingi

Instable

Zege

Chipsi mayai

Frites

Zingua

Changanya

Confus

Ziro, zezeta, zoba

Mtu asiye na akili

Imbécile