KISWAHILI EXPRESS - [3] EN VISITE |
|
|
Khadija anakwenda kuzuru Hamisi. Anamwuliza Hamisi juu ya rafiki yake. |
|
Khadija | -> | Hamisi |
|
Hodi ! Hodi ! |
1 |
Karibu. |
|
Hujambo, Bwana Hamisi. |
2 |
Sijambo, Bi Khadija. |
|
U hali gani ? |
3 |
Mzima, na wewe u hali gani ? |
|
Salama tu. |
4 |
Karibu ukae, tafadhali. |
|
Ahsante. Je, bwana huyu ni nani ? |
5 |
Yeye ni mgeni. |
|
Jina lake ni nani ? |
6 |
Jina lake ni Yusufu. |
|
<- Page précédente |
 |
Page suivante -> |