KISWAHILI EXPRESS - [4] EN VISITE |
|
|
Mjukuu anakwenda kuzuru Babu yake anayemwuliza habari zake. |
|
Mjukuu | -> | Babu |
|
Shikamoo babu. |
1 |
Marahaba mjukuu. |
|
|
2 |
Habari za siku nyingi ? |
|
Salama tu. |
3 |
Habari za masomo ? |
|
Nzuri kidogo babu. |
4 |
Wazazi nyumbani hawajambo ? |
|
Hawajambo. |
5 |
Haya, kwa heri mjukuu. |
|
Kwa heri ya kuonana babu. |
6 |
|
|
<- Page précédente |
 |
Page suivante -> |